Kamishna siro amesema biashara hiyo ina uhusiano
na uhafu
|
Walikamatwa
kufuatia msako unaoendelea kukomesha biashara hiyo ambayo haikubaliki kwa mujibu
wa sheria nchini humo.
Hii ni
idadi kubwa kuwahi kukamatwa katika vita dhidi ya biashara ya ukahaba nchini
humo.
Wengi
walikamatwa maeneo ya Kinondoni, Temeke na Ilala 51.
Kamishna
wa polisi wa kanda maalum ya Dar es Salaam amesema wengi wa majambazi
hukimbilia kwa biashara ya ukahaba.
“Kuwakamata
na kuwahoji kunasaidia kupata mambo mengi sana kuhusiana na haya (uhalifu),
hata madawa ya kulevya pia. Wengi unakuta wanajua watu wanaoyatumia, wengine
wanashiriki,” aliambia wanahabari.
Aliwaomba
wananchi kuwasiadia maafisa wa polisi katika operesheni hiyo.
Chanzo bbc
swahili
No comments:
Post a Comment